East of Eden - Swahili Edition: Kuishi ndani ya kivuri cha Bustani: Somo la Mwanzo 4: 16 F. Wayne Mac Leod Author - libro nuevo
ISBN: 9781927998410
Kwa namna yoyote ile historia ya Kaini katika kitabu cha Mwanzo 4:16 ni historia yetu. Ni historia ya uhasi wa mtu na aliye kuwa mbali na uwepo wa Mungu. Kama tunavyo muona Kaini akiondok… Más…
Kwa namna yoyote ile historia ya Kaini katika kitabu cha Mwanzo 4:16 ni historia yetu. Ni historia ya uhasi wa mtu na aliye kuwa mbali na uwepo wa Mungu. Kama tunavyo muona Kaini akiondoka katika uwepo wa Mungu inatusaidia kujua jinsi gani majaribu yetu yanatuweka mbali na ukamilifu wa baraka za Mungu . Tunatambua jinsi gani tunapambana na vivutio vya ulimwengu na mioyo yetu yenye dhambi. Kifungu hichi, kwanamna nyingine , ni zaidi ya historia ya uhasi wa Kaini. Bali ni ufunuo wa moyo wa Mungu juu ya watu wake kwa ujumla. Tuliumbwa kuishi kwenye Bustani ya Edeni. Lakini dhambi ikaondoa haki ya sisi kukaa katika ukamilifu wa Edeni, Bwana wetu Yesu kristo amerudisha haki hii kwa kifo chake na kufufuka kwaajili yetu. Baraka na haki za Edeni zipo kwa mtu yeyote atakae pokea msamaha kupitia Bwana Yesu. Digital Content>E-books>Religion,Inspiration>Comparative Religion>Comparative Religion, Light To My Path Book Distribution Digital >16<
BarnesandNoble.com
new in stock. Gastos de envío:plus shipping costs., más gastos de envío Details...
(*) Libro agotado significa que este título no está disponible por el momento en alguna de las plataformas asociadas que buscamos.
East of Eden - Swahili Edition: Kuishi ndani ya kivuri cha Bustani: Somo la Mwanzo 4: 16 F. Wayne Mac Leod Author - libro nuevo
ISBN: 9781927998410
Kwa namna yoyote ile historia ya Kaini katika kitabu cha Mwanzo 4:16 ni historia yetu. Ni historia ya uhasi wa mtu na aliye kuwa mbali na uwepo wa Mungu. Kama tunavyo muona Kaini akiondok… Más…
Kwa namna yoyote ile historia ya Kaini katika kitabu cha Mwanzo 4:16 ni historia yetu. Ni historia ya uhasi wa mtu na aliye kuwa mbali na uwepo wa Mungu. Kama tunavyo muona Kaini akiondoka katika uwepo wa Mungu inatusaidia kujua jinsi gani majaribu yetu yanatuweka mbali na ukamilifu wa baraka za Mungu . Tunatambua jinsi gani tunapambana na vivutio vya ulimwengu na mioyo yetu yenye dhambi. Kifungu hichi, kwanamna nyingine , ni zaidi ya historia ya uhasi wa Kaini. Bali ni ufunuo wa moyo wa Mungu juu ya watu wake kwa ujumla. Tuliumbwa kuishi kwenye Bustani ya Edeni. Lakini dhambi ikaondoa haki ya sisi kukaa katika ukamilifu wa Edeni, Bwana wetu Yesu kristo amerudisha haki hii kwa kifo chake na kufufuka kwaajili yetu. Baraka na haki za Edeni zipo kwa mtu yeyote atakae pokea msamaha kupitia Bwana Yesu. Digital Content>E-books>Religion,Inspiration>Comparative Religion>Comparative Religion, Light To My Path Book Distribution Digital >16<
new in stock. Gastos de envío:plus shipping costs., más gastos de envío
1Dado que algunas plataformas no nos comunican las condiciones de envío y éstas pueden depender del país de entrega, del precio de compra, del peso y tamaño del artículo, de una posible membresía a la plataforma, de una entrega directa por parte de la plataforma o a través de un tercero (Marketplace), etc., es posible que los gastos de envío indicados por eurolibro/terralibro no concuerden con los de la plataforma ofertante.
Detalles del libro - East of Eden - Swahili Edition: Kuishi ndani ya kivuri cha Bustani: Somo la Mwanzo 4: 16 F. Wayne Mac Leod Author
EAN (ISBN-13): 9781927998410 Año de publicación: 2024 Editorial: Light To My Path Book Distribution Digital >16
Libro en la base de datos desde 2025-01-09T11:16:06+01:00 (Madrid) Libro encontrado por última vez el 2026-03-11T22:03:08+01:00 (Madrid) ISBN/EAN: 9781927998410
ISBN - escritura alterna: 978-1-927998-41-0 Mode alterno de escritura y términos de búsqueda relacionados: Título del libro: cha cha cha
Más, otros libros, que pueden ser muy parecidos a este: